Waziri wa serikali za mitaa Mheshimiwa Hawa Ghasia katikati akiongonzana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kushoto kwake Mh Abasi Kandolo na kulia kwake Mkuu wa wilaya ya Momba Mh Saidea pamoja na baadhi ya viongozi wa wilaya wakikagua mradi wa ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu katika shule ya Sekondari Mpemba iliyopo wilayani Momba