Waziri wa serikali za mitaa Mheshimiwa Hawa Ghasia katikati akiongonzana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kushoto kwake Mh Abasi Kandolo na kulia kwake Mkuu wa wilaya ya Momba Mh Saidea pamoja na baadhi ya viongozi wa wilaya wakikagua mradi wa ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu katika shule ya Sekondari Mpemba iliyopo wilayani Momba
MOMBA DISTRICT COUNCIL
Tuesday, February 11, 2014
SIKU YA MTOTO WA AFRICA
Ni moja wapo ya picha ya wanafunzi wa Shule mbalimbali za wilaya ya Momba wakiadhimisha siku ya mtoto wa Afrika Iliyofanyika Nandanga kata ya chiwezi
Sunday, November 24, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)